Unyanyasaji wa Sharleen

Unyanyasaji wa Watoto haujaanza jana wala leo, lakini hiki ni kisa kinachosikitisha mno kwani sharley ni mtoto mdogo wa darasa la pili kutoka Kisumu Migosi estate kushoto mwa shule ya msingi ya Migosi. ambae hapati adhabu za viboko tu, bali anafanyishwa kazi za nyumba kwa amri ya shangazi yake. Sharleen alionekana na majeraha mengi mwilini, kwanzia mkononi hadi mgongoni, wapiti njia hawakuweza kuvumilia walipoona majeraha hayo wakati Sharleen alitumwa sokoni na auntie yake, ikabidi wamhoji. Licha ya kufanyishwa kazi ya utumwa, Sharleen alikuwa hapewi chakula cha kutosha.

Baada ya mahoji hayo wanakijiji walitaka kuchambua Zaidi, walifanya bidi hadi shangazi yake Sharleen kwa jina Everline, pamoja na mjombake walifikishwa kwa mkuu msaidizi wa Kijiji, Charles Midori pamoja na wazee wa Kijiji, Phillip Manyata, Victor Oruko, Winnie Ogot na Yvonne, pamoja na afisa anayeamuru kwa kituo cha polisi ambapo Sharleen alipelekwa hospitalini na kuwekwa kwenye ulinzi wa usalama.

Kinachonishangaza ni, wako wapi wazazi wa Sharleen wakati haya masaibu yote yanamwandama mtoto huyu? Wewe kama mzazi utampeanaje mtoto wako akaishi na ndugu yako bila kuongea nae na kumjulia hali mara kwa mara? Sharleen anadai kwamba mamake yuko malaba wakati babake yuko Nairobi. Maisha ya baadae ya Watoto wote, yanategemea na ulezi wa Watoto hao. Mtoto anayelelewa na unyanyasaji namna hii anaweza kua na Maisha magumu baadae kutokana na mifadhaisho ya utotoni.

Hata kama sharia itapitishwa, ni muhimu wazazi wa Sharleen pia waketishwe kikao na wapewe msomo wa maana. Hakuna sababu yoyote inayomfanya mtu yeyote kumnyanyasa mtoto. DUMISHA UNYANYASAJI WA MTOTO.

 Soma kwa Zaidi:

https://m.facebook.com/groups/931627667281864/permalink/1152531855191443/

https://m.facebook.com/groups/931627667281864/permalink/1152204828557479/

follow us on

Twitter:https://twitter.com/mtotonews

subscribe to our YouTube channel:https://YouTube.com/mtotonewstv

Mtoto News is a Digital Online platform of news,information and resources that aims at making significant changes in the lives of children by making them visible.Read mtotonews.com or follow us on Twitter and Facebook@mtotonewsblog

8 thoughts on “Unyanyasaji wa Sharleen”

  1. Добрый день!
    Мы готовы предложить документы ВУЗов
    [url=http://webworlddesigners.com/kupit-diplom-639363oqv/]webworlddesigners.com/kupit-diplom-639363oqv[/url]

  2. Привет, друзья!
    Мы предлагаем документы ВУЗов
    [url=http://digitalmagazine.xyz/kupit-diplom-450800lgw/]digitalmagazine.xyz/kupit-diplom-450800lgw[/url]

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *