Yatima katika Jamii
By Martha Chimilila Yatima ni mtoto aliyepoteza Mzazi mmoja ama wazazi wote, inaweza ikawa kwa ugonjwa au kitu kingine chochote. Tafiti zaonesha kuwa, zaidi ya watoto million 153 ni Yatima kwa kupoteza Mzazi mmoja, na takribani millioni 17.8 wamepoteza wazazi wote wawili. Visababishi vya mtengano kati ya watoto, wazazi na vituo vya kutoa misaada ni …