Ahadi kwa Watoto Walio katika Mazingira magumu Sudan
By Khadija Mbesa World Vision inasasisha kujitolea kwake kwa watoto kupitia mkakati wake mpya wa miaka mitano, World Vision Sudan imezindua mkakati wake ujao wa miaka mitano (2021-2025), ikiahidi kufikia takriban milioni 2.1 ya watoto walio katika mazingira magumu zaidi wa Sudan katika majimbo ya Blue Nile, Kusini mwa Kordofan, Kusini na Mashariki mwa Darfur. […]
Ahadi kwa Watoto Walio katika Mazingira magumu Sudan Read More »