Kenya kutoa chanjo ya polio kwa Watoto milioni 3.4
By Khadija Mbesa Wizara ya Afya ya Kenya ilisema siku ya alhamisi kuwa, itachanja watoto milioni 3.4 chini ya miaka mitano katika kaunti 13 dhidi ya polio mnamo Mei na Juni. Awamu ya kwanza ya chanjo itaanza kutoka Mei 22-26 wakati awamu ya pili itafanyika mnamo Juni 19-23. Mutahi Kagwe, katibu wa baraza la mawaziri […]
Kenya kutoa chanjo ya polio kwa Watoto milioni 3.4 Read More »