Watoto

Mbio za Kupunguza Ukatili wa Kijinsia

By Martha Chimilila Tanzania kama zilivyo nchi nyingi duniani, kuna ongezeko kubwa la ukatili wa kijinsia kwa Watoto, ambao umefichwa na mila, tamaduni na dini. Ijapokuwa wanaharakati wa haki za Watoto nchini Tanzania wamekuwa wakifanya kampeni mbalimbali ili kupinga ndoa za utotoni, tohara na mimba za mapema. Hali ambayo ni tofauti kwa jamii mbalimbali ikiwemo …

Mbio za Kupunguza Ukatili wa Kijinsia Read More »

Usalama wa Watoto Wetu

By Khadija Mbesa Visa vingi vya utekaji nyara vimekuwa vikitokea pande nyingi za Kenya, huku watoto wakiwa waathiriwa zaidi, je Watoto wetu wako na usalama? hili ndilo swali kuu linalopitia akili ya kila mzazi. Watoto hawako salama, si shuleni wala nyumbani. Hivi karibuni, Shantel Nzembi wa miaka minane alipotea kutoka nyumbani kwao Kitengela wakati alikuwa …

Usalama wa Watoto Wetu Read More »

Kwa nini Haki za Watoto Haziheshimiwi?

By khadija Mbesa Katika ripoti iliyochapishwa kabla ya maadhimisho ya miaka 9 ya nchi ya sudan mnamo Julai tarehe 9, UNICEF iligundua rekodi ya milioni 4.5 ya watoto, au theluthi mbili ya watoto nchini Sudan Kusini, wanahitaji msaada mkubwa.  Kiwango cha vifo vya watoto ni kati ya kiwango cha juu zaidi ulimwenguni, na mtoto mmoja kati ya 10 hatarajiwi …

Kwa nini Haki za Watoto Haziheshimiwi? Read More »

Bwawa la Njaa

By Khadija Mbesa zaidi ya watoto milioni 5.7 walio na miaka chini ya mitano wako katika ukingo wa njaa kote ulimwenguni. Save the Children yaonya kwamba ulimwengu unakabiliwa na shida kubwa ya njaa katika karne ya 21 huku likisema kuwa, watoto zaidi ya milioni 13 walio na miaka chini ya 18 wanakabiliwa na uhaba wa …

Bwawa la Njaa Read More »

Komesha Uchumba wa Kifamilia

By Khadija Mbesa Afisa wa watoto wa Kaunti Ndogo ya Makueni Rasto Omollo ameonya wakaazi juu ya kutoripoti visa vya uchumba vinavyofanywa dhidi ya watoto, tena uchumba wa kifamilia. Omollo alisema kuwa kesi nyingi za uchumba haziripotiwi na hutatuliwa nyumbani badala ya kuripoti ili wahusika waende mbele ya haki. ” Wazazi wa watoto ambao wamenajisiwa …

Komesha Uchumba wa Kifamilia Read More »

Wamlilie nani? Waelekee wapi?

By Khadija Mbesa Asia imewapa Kisogo watoto wa Rohingya. Hakuna mtoto yeyote, anayepaswa kuishi na Hofu!. Abul kijana mwenye umri wa miaka 16 ameishi maisha yake yote kwa hofu. Kama mtoto wa Rohingya kukulia katika Jimbo la Rakhine huko Myanmar, alikuwa akiteswa na kidhalilishwa mara kwa mara. Alishuhudia mamake na dadake wakipigwa. Zaidi ya miezi 18 iliyopita, …

Wamlilie nani? Waelekee wapi? Read More »