Watoto

Watoto, Wenye Miaka 3 na 6 Wamekuwa Waathiriwa Zaidi wa Unyanyasaji wa Kingono

Ripoti kutoka kwa shirika la usalama la mtandao limesema kwamba, watoto walio na umri wa kati ya miaka mitatu na sita wamekuwa waathiriwa zaidi katika mwenendo unaoongezeka wa unyanyasaji wa kingono wa watoto unaotokana na wao wenyewe. Wakfu ya Internet Watch ilisema kwamba, katika kipindi cha mwezi mmoja, wakfu hiyo iliiona mifano 51 ya picha za

Watoto, Wenye Miaka 3 na 6 Wamekuwa Waathiriwa Zaidi wa Unyanyasaji wa Kingono Read More »

Mduara wa Unyanyasaji Nyumbani

Wazazi ndio washawishi wakubwa zaidi katika maisha ya watoto wao. Kwa hivyo, mienendo ya wazazi huwa na athari kubwa mno kwa watoto wao. Kwa mfano, Wazazi wanaozushiana na kupigana kila kuchao, hua sumu kwenye maisha ya watoto wao. swali ni, Sumu hii yaletwa vipi? Sumu hii huja baada ya wazazi kuwanyanyasa watoto hawa kiakili kwa

Mduara wa Unyanyasaji Nyumbani Read More »

Mchezo wa Mtandaoni Utakaokuza Jukwaa la Usalama Kwa Watoto

Khadija Mbesa Februari, 2022. Nairobi Kenya Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CAK) imezindua rasmi mchezo wa mtandaoni unaoitwa  ‘Cyber ​​Soldjas’  kwa minajili ya kukuza jukwaa salama la mtandaoni kwa watoto. Akizungumza katika hoteli moja, hapo jana jijini Nairobi, Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria wa CAK, Mercy Wanjau, alisema kwamba, mchezo huo wa mtandaoni unalenga watoto wenye umri

Mchezo wa Mtandaoni Utakaokuza Jukwaa la Usalama Kwa Watoto Read More »

Kuongezeka kwa Kesi za Covid-19 kati ya Watoto

By Khadija Mbesa Ripoti ya madaktari wa watoto inasema kwamba, Kesi za Covid-19 kati ya watoto zinaongezeka tena, kwa zaidi ya kesi mpya 164,000 wiki iliyopita. Kesi za Covid-19 miongoni mwa watoto zinaongezeka tena, hii ni kulingana na ripoti kutoka Chuo cha Amerika cha Madaktari wa Watoto iliyochapishwa Jumatatu. ripoti hiyo ilielezea kwamba, Kesi mpya zilizoripotiwa miongoni mwa watoto

Kuongezeka kwa Kesi za Covid-19 kati ya Watoto Read More »

DPP Hajj Azindua Muongozo wa Waendesha Mashitaka Ili Kuwalinda Watoto

By Khadija Mbesa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (ODPP) imezindua mwongozo katika mfumo wa haki ya jinai ili kuwasaidia waendesha mashtaka wanaposhughulikia kesi zinazohusu watoto. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mpango huo katika Taasisi ya Mafunzo ya Uendeshaji Mashtaka jijini Nairobi, DPP Noordin Haji alisema mwongozo huo utahakikisha haki kwa watoto wanaoingia katika

DPP Hajj Azindua Muongozo wa Waendesha Mashitaka Ili Kuwalinda Watoto Read More »

Kila Baada ya Dakika Mbili,Mtoto Aliambukizwa VVU Mnamo Mwaka 2020

By Khadija Mbesa Takriban watoto 300,000 wameambukizwa VVU mwaka wa 2020, hii ni sawa na mtoto mmoja anaambukizwa vvu kila baada ya dakika mbili, na watoto idadi ya 120,000 walikufa kutokana na visababishi vinavyohusiana na UKIMWI katika kipindi hicho, sawa na mtoto mmoja kila baada ya dakika tano. UNICEF Picha ya hivi punde ya VVU na UKIMWI Global

Kila Baada ya Dakika Mbili,Mtoto Aliambukizwa VVU Mnamo Mwaka 2020 Read More »