Mabadiliko ya Sera Nchini Kenya Kuhusu Makaazi ya Watoto Yatima

Khadija Mbesa Watoto wote wanastahili na wana haki ya kukuzwa katika familia zenye upendo na usalama. Kwa bahati mbaya, watoto wengi nchini Kenya wanaendelea kuishi katika Taasisi za Watoto za Msaada zinazojulikana kama nyumba za watoto yatima au nyumba za watoto. Licha ya sheria iliyopo (Sheria ya Mtoto ya 2001) ya kukuza malezi nchini Kenya, …

Mabadiliko ya Sera Nchini Kenya Kuhusu Makaazi ya Watoto Yatima Read More »