Wasichana

Vita Dhidi ya Biashara ya Watoto

By; Khadija Mbesa Usafirishaji wa watoto ni aina ya usafirishaji haramu wa binadamu na hufafanuliwa na Umoja wa Mataifa kama “kuajiri, usafirishaji, uhamishaji, kuhifadhi, na / au kupokea” utekaji nyara wa mtoto kwa lengo la utumwa, kazi ya kulazimishwa na unyonyaji. Usafirishaji wa watoto ni uhalifu – na inawakilisha mwisho mbaya wa utoto. Inamaanisha unyonyaji …

Vita Dhidi ya Biashara ya Watoto Read More »

Je ni Mila Ama Utumwa?

By; Khadija Mbesa Tumejifanya viziwi na vipofu mbele ya mambo ambayo yanamdumisha na kumdhalilisha mtoto kwa kusingizia mila. Je mila hiyo haina huruma mbele ya Watoto? Si ukeketaji, si ndoa za mapema kwa wasichana, si kutosomeshwa, yote hayo yanamkosema mtoto wa kike fursa ya kuishi kwa furaha. Ukeketaji Si leo wala si kesho, tabia hii …

Je ni Mila Ama Utumwa? Read More »