Unyanyasaji wa Sharleen

Unyanyasaji wa Watoto haujaanza jana wala leo, lakini hiki ni kisa kinachosikitisha mno kwani sharley ni mtoto mdogo wa darasa la pili kutoka Kisumu Migosi estate kushoto mwa shule ya msingi ya Migosi. ambae hapati adhabu za viboko tu, bali anafanyishwa kazi za nyumba kwa amri ya shangazi yake. Sharleen alionekana na majeraha mengi mwilini, …

Unyanyasaji wa Sharleen Read More »