Wanafunzi

Chanjo ni Bora Kuliko Tiba

By Martha Chimilila Burundi ni moja ya nchi za Afrika Mashariki, ambazo zilipinga kufuata masharti yaliyotolewa na Shirika la Afya duniani juu ya janga la Uviko 19. Hali imekuwa ya tofauti baada ya serikali ya Burundi kuanzisha kampeni mbalimbali za kudhibiti na kukinga wananchi wake juu ya janga la Uviko 19. Katika juhudi za kuzuia …

Chanjo ni Bora Kuliko Tiba Read More »

Tuhuma za Mapenzi Baina ya Walimu na Wanafunzi

By Martha Chimilila Katika kipindi cha miaka ya karibuni Tanzania imeona ongezeko kubwa la wanafunzi wa kike kuacha shule, tatizo kubwa ni kupata ujauzito. Mimba za utotoni katika miji mikubwa zimeongezeka kutoka watoto 3 kati ya 10 hadi watoto 7 kati ya 10. Tarehe 7 September 2021, Mkoani Dodoma Serikali ya Tanzania kupitia, Bi Ummy Mwalimu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imetangaza kuwafikisha walimu 285 kati ya 10,115 katika Tume ya Utumishi wa Ualimu kwa tuhuma za kujihusisha kimapenzi na wanafunzi katika kipindi cha miaka minne.  “Makosa haya ni sawa na asilimia 2 ya makosa yote yaliyofika katika Tume ya Utumishi wa Ualimu. Tume hampaswi kumuonea mtu aibu endapo amevunja sheria”  “Mwalimu yoyote atakayethibitika kuwa anajihusisha kimapenzi na mwanafunzi, kama serikali hatuta mvumilia na atachukuliwa hatua maana ni kinyume na sheria ya nchi na …

Tuhuma za Mapenzi Baina ya Walimu na Wanafunzi Read More »

Tumaini Njiani

By Martha Chimilila Shule ya bweni ya wasichana pekee nchini Afghanistan, imesafirisha kundi kubwa la wanafunzi na wafanyakazi wake kwenda nchini Rwanda. Hatua hii, imechukuliwa siku chache baada ya kikundi cha Taliban kuiondoa serikali iliyokuwa madarakani nchini Afghanistan, kikundi hiki kinapinga wasichana na wanawake kupata elimu.  Bi. Shabana Basij-Rasikh, Muanzilishi wa shule ya Uongozi Afghanistan (SOLA), ni Taasisi binafsi. Alifanya mahojiano na shirika la habari la CNN siku ya jumanne …

Tumaini Njiani Read More »

Uzinduzi wa Kilabu 4-K

By Khadija Mbesa Kuungana, Kufanya na Kusaidia Kenya, kilabu inayozinduliwa upya na wizara ya kilimo na teknolojia  pamoja na Mheshimiwa Rais Uhuru Muigai. Uzinduzi wa Kilabu 4-k ambao umefanyika Ijumaa ya leo tarehe 4 mwezi wa 6 mwaka wa 2021. Wanafunzi kutoka shule mbali mbali walileta miradi yao ya kilimo kati ya shukle hizo ni, …

Uzinduzi wa Kilabu 4-K Read More »