Ripoti ya UNHCR Kuhusu Wakimbizi wa Rohyngya
By Khadija Mbesa Wakimbizi wa Rohingya, haswa wanawake na watoto, wanakabiliwa na safari mbaya katika Ghuba ya Bengal na Bahari ya Andaman Wakala wa Wakimbizi, UNHCR, imefunua leo kwamba, 2020 ulikuwa mwaka mbaya zaidi kwa rekodi ya safari za wakimbizi katika Ghuba ya Bengal na Bahari ya Andaman. mnamo mwaka jana, janga la COVID-19 lilisababisha Mataifa […]
Ripoti ya UNHCR Kuhusu Wakimbizi wa Rohyngya Read More »