Ajira ya Watoto na Utumwa Kuongezeka

By Khadija Mbesa Watoto wana hatari zaidi ya kusukumwa katika ajira ya watoto kama matokeo ya Covid-19, ambayo inaweza kusababisha kuongezeka kwa utumikishwaji wa watoto, baada ya miaka 20 ya maendeleo. Shirika la wafanyikazi ulimwenguni linaonya kuwa, visa vingi vya ajira na utumwa vinaripotiwa katika uchumi wa Kusini mwa Jangwa la Sahara na Asia, na …

Ajira ya Watoto na Utumwa Kuongezeka Read More »