Vita

Nchi zilizoathiriwa zaidi na Ukiukaji wa Haki Dhidi ya Watoto Walio katika Vita

By Khadija Mbesa Kanda ya Afrika Magharibi na ya Kati ni miongoni mwa nchi zilizoathiriwa zaidi na ukiukaji mkubwa wa haki dhidi ya watoto katika vita vya silaha Tangu mwaka wa 2005, wakati utaratibu wa Umoja wa Mataifa wa kufuatilia na kutoa taarifa juu ya ukiukwaji mkubwa wa watoto sita ulipoanzishwa, Afrika Magharibi na Kati …

Nchi zilizoathiriwa zaidi na Ukiukaji wa Haki Dhidi ya Watoto Walio katika Vita Read More »

Vita vya Syria

By Martha Chimilila Jitihada za Belgiji katika Kumlinda Mtoto dhidi ya vita ya Syria Ubelgiji ni nchi ya kwanza katika bara la Ulaya, kufanya maamuzi ya kuwachukua mama na watoto kutoka kambi za Jihadi za Syria. Mamia ya Wazungu katika bara la Ulaya, walisafiri kwenda Syria kujiunga na Islamic State, takribani asilimia 40 ni watoto …

Vita vya Syria Read More »

Kiwewe cha saikologia

By Khadija Mbesa Vita hutokea, Ugomvi hutendeka, lakini ni nini hutokea kwa watoto baada ya vinyang’anyiro hivyo vya kutaka kuibuka mshindi na mwenye nguvu zaidi?. Migogoro husababisha mafadhaiko yenye sumu na shida za kiafya utotoni na hata ukubwani.  “Psychological Trauma”. Baada ya vita, Watu wengine wana tabia ya kuzingatia tu majeraha ya nje, bila ya …

Kiwewe cha saikologia Read More »