Onyo kwa Wazazi Wanaowanyima Watoto Haki ya Kupata Elimu

By Khadija Mbesa Viongozi kutoka Ashabito, Mandera Kaskazini wamewaonya wazazi na walezi dhidi ya kuwanyima watoto wao haki ya kupata elimu wakisema kuwa siku zao zimehesabiwa. Akiongea katika hafla huko Ashabito, mkuu wa eneo la Morothile Abiy Jillo alisema elimu ni ufunguo wa maisha yenye mafanikio na kusisitiza kwamba jamii isiyo na elimu ni sawa …

Onyo kwa Wazazi Wanaowanyima Watoto Haki ya Kupata Elimu Read More »