Uzito wa Ukiukwaji wa Haki za Watoto Kaskazini mwa Ethiopia

By Khadija Mbesa Kama walivyosema, Fahali wawili wakipigana basi manyasi ndio huumia. Miezi kadhaa baada ya vita vya ndani huko kaskazini mwa Ethiopia, kumekua na vifo vya maelfu ya watu, mamilioni ya wakimbizi, na kusababisha mashtaka ya ukatili kama utakaso wa kikabila, serikali ya Ethiopia na washirika wake hawajaonyesha dalili yoyote ya kurudisha vikosi vya …

Uzito wa Ukiukwaji wa Haki za Watoto Kaskazini mwa Ethiopia Read More »