Unashusha Pumzi ya Mtoto Wako Polepole
By Khadija Mbesa Wataalam wa afya ya umma wanaonya kuwa uvutaji wa sigara una athari mbaya kiafya na si hilo tu, ila athari zake kiuchumi pia ni kubwa. Mtaalamu wa Afya ameeleza kuwa, kufichuliwa kwa moshi wa sigara, na vifaa vingine vya elektroniki vya kufungua nikotini kwa Watoto ni saw ana kufinya na kumaliza Maisha […]
Unashusha Pumzi ya Mtoto Wako Polepole Read More »