Utapiamlo

Utapiamlo na Mwito wa Msaada Afghanistan

By Khadija Mbesa ‘Watoto wa Afghanistan wako katika hatari zaidi kuliko hapo awali’, afisa mkuu wa UNICEF aonya. George Laryea-Adjei, Mkurugenzi wa Mkoa wa UNICEF Asia Kusini, alisema kuwa, watoto wamelipa bei kubwa zaidi katika wiki za hivi karibuni za kuongezeka kwa mizozo na ukosefu wa usalama. Sio tu kwamba wengine wamelazimishwa kutoka majumbani mwao, na kukataliwa kutoka shule …

Utapiamlo na Mwito wa Msaada Afghanistan Read More »