Kulinda Watoto Dhidi ya Unyonyaji, Utalii Unapoanza Tena.

By Khadija Mbesa Unyonyaji wa kijinsia katika safari na utalii una hatari kwa mtoto! Hakuna nchi ambayo haijaguswa na jambo hili na hakuna mtoto asiye na kinga. Wakati utalii unapoanza tena baada ya kusimamishwa kwa sababu ya janga la corona, serikali inapaswa kuhakikisha kwamba, watoto hawanyanyaswi zaidi wala hawawi waathirika wa unyonyaji wa ngono. Mgogoro […]

Kulinda Watoto Dhidi ya Unyonyaji, Utalii Unapoanza Tena. Read More »