Mtaala wa Elimu kwa Watoto wenye Usonji

By Martha Chimilila Usonji ni tatizo la kinafsi na la kihisia linalowatokea watu wengi tangu utotoni na kuathiri uwezo wao wa kuwasiliana na watu wengine. Kifupi watu wenye Usonji hawana uwezo mzuri katika swala zima la Mawasiliano. Nchini Rwanda, wazazi wengi wanapata shida katika malezi ya kitaaluma kwa watoto wenye tatizo la Usonji, Bodi ya Elimu imeazimia kuandaa […]

Mtaala wa Elimu kwa Watoto wenye Usonji Read More »