Usafirishaji wa watoto

Usafirishaji Haramu wa Watoto

By Martha Chimilila Usafirishaji haramu wa watoto ni kitendo cha kuwaondoa watoto katika mazingira salama na kuwatumikisha katika biashara za unyonyaji au biashara ya ngono. Tanzania ni moja ya nchi ambayo iko katika mapambano dhidi ya vitendo vya usafirishaji haramu wa watoto. Katika mkoa wa Mbeya, Jeshi la polisi linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuwatorosha na kuwauza […]

Usafirishaji Haramu wa Watoto Read More »

Vita Dhidi ya Biashara ya Watoto

By; Khadija Mbesa Usafirishaji wa watoto ni aina ya usafirishaji haramu wa binadamu na hufafanuliwa na Umoja wa Mataifa kama “kuajiri, usafirishaji, uhamishaji, kuhifadhi, na / au kupokea” utekaji nyara wa mtoto kwa lengo la utumwa, kazi ya kulazimishwa na unyonyaji. Usafirishaji wa watoto ni uhalifu – na inawakilisha mwisho mbaya wa utoto. Inamaanisha unyonyaji

Vita Dhidi ya Biashara ya Watoto Read More »