Kituo cha Uokoaji wa waathiriwa wa GBV
By Khadija Mbesa Kutokana na ongezeko la visa vya ukatili wa kijinsia katika Kaunti ya Kiambuu, kumetengwa fedha za kufungua kituo cha Uokoaji wa waathiriwa hao. Kumeibuka wasiwasi juu ya visa vya juu vya Unyanyasaji wa Kijinsia huko Kiambu na takwimu za Serikali ya Kaunti zinaonyesha kuwa asilimia 17.7 ya wanawake katika Kaunti hiyo walifanyiwa …