UNICEF

Uzinduzi wa Ripoti ya Kimataifa ya UNICEF kuhusu Watoto wenye Ulemavu

By Khadija Mbesa Kwa mara ya kwanza, UNICEF hapo leo, imezindua ripoti ya takwimu za watoto wenye ulemavu kimataifa. UNICEF Inajiunga nanyi nyote, ili kujenga ulimwengu ambapo watoto wenye ulemavu waweze kufikia uwezo kamili, Kukua na afya, kuelimika, kulindwa na kushirikishwa katika jamii zao.Hiki ndicho kitovu cha dhamira yetu, kutambua haki za kila mtoto na …

Uzinduzi wa Ripoti ya Kimataifa ya UNICEF kuhusu Watoto wenye Ulemavu Read More »

Strengthening Child Protection Systems

By Constance Ndeleko A child protection system specifically respects children’s protection rights. The system needs to be rooted in the socio-cultural context(s); building upon informal practices, local values, and beliefs in families and communities that already support the care and protection of girls and boys of different ages and backgrounds. UNICEF defines a child protection …

Strengthening Child Protection Systems Read More »

Ushirikiano wa UNICEF na Airtel Afrika, Katika Kuboresha Mafunzo ya Kidigitali kwa Watoto

By Khadija Mbesa Airtel Afrika na UNICEF Zataka Kuongeza Mafunzo ya Kidijitali kwa Watoto Barani Afrika, Ikiwemo Kenya Airtel Afrika na UNICEF zimetangaza hapo jana ushirikiano wa miaka mitano barani Afrika ili kusaidia kuharakisha uanzishaji wa mafunzo ya kidijitali kupitia kuunganisha shule kwenye mtandao na kuhakikisha upatikanaji wa bure wa majukwaa ya kujifunzia katika nchi …

Ushirikiano wa UNICEF na Airtel Afrika, Katika Kuboresha Mafunzo ya Kidigitali kwa Watoto Read More »

Ukiukwaji wa Watoto kila uchao

By Khadija Mbesa Takriban watoto 27 wameuawa nchini Afghanistan ndani ya siku tatu wakati wa mapigano makali kati ya Taliban na vikosi vya serikali. Shirika la Umoja wa Mataifa la watoto Unicef ​​limesema kwamba, limeshtushwa na “kuongezeka kwa kasi kwa ukiukaji mkubwa dhidi ya watoto”. Taliban wamekuwa wakifanya maendeleo makubwa kote nchini wakati wanajeshi wa kigeni …

Ukiukwaji wa Watoto kila uchao Read More »