Kuongezeka kwa Mauti ya Watoto-Vita vya Israel-Palastine
By Khadija Mbesa Shirika la Save the Children linaita mwito wa kusitishwa kwa vita mara moja, kwani watoto 58 huko Gaza na watoto wawili kusini mwa Israeli wameuawa ndani ya wiki iliyopita tu. Zaidi ya watu elfu moja huko Gaza, pamoja na watoto 366 pia wamekuwa wahasiriwa wa majeruhi. Watoto karibia watatu wanajeruhiwa ndani ya […]
Kuongezeka kwa Mauti ya Watoto-Vita vya Israel-Palastine Read More »