Umaskini

Watoto wa Mtaani na Umaskini

By Martha Chimilila. Umaskini ni hali ya ukosefu wa mahitaji ya msingi ya binadamu kama vile chakula, maji salama, huduma za afya, mavazi na nyumba, kutokana na kukosa uwezo wa kununua. Tafiti zilizotolewa na UNICEF zinaonyesha kuwa, nusu ya watoto duniani wanaishi katika hali ya ufukara ambayo ni sawa na bilioni 1.1. Utafiti wa ‘Makadirio ya Ulimwengu ya …

Watoto wa Mtaani na Umaskini Read More »