Maneno Ambayo Hustahili Kumwambia Mwanao

By; Khadija Mbesa Ulezi sio kazi rahisi, ila ni sehemu muhimu sana, ugumu wa uzazi ni kujifunza kuzungumza na mtoto wako, kwani Watoto huchukua kila kitu kihalisi na njia unayoongea nae huenda mbali katika kujenga utu wao. Lakini kama mzazi yuko katika mauzauza huenda akamtupia ama kumrushia maneno ambayo hayapendezi kwa mtoto wake bila kusudia. […]

Maneno Ambayo Hustahili Kumwambia Mwanao Read More »