Mapigano dhidi ya Minyororo ya Ulawiti, Rwanda
By Martha Chimilila Ukatili wa kijinsia ni kitendo anachofanyiwa mtu yoyote kwa lengo la kumdhuru au kumuumiza kisaikolojia, kimwili, kiafya, kingono na kiuchumi. Tafiti nyingi zinaonyesha kuwa, wanawake ndiyo wahanga wakubwa wa ukatili wa kijinsia. Hali imekuwa ya tofauti nchini Rwanda, ambapo Wataalamu wametoa ripoti inayoonyesha asilimia 11 kwa mwaka wamefanyiwa ukatili wa kijinsia kwa […]
Mapigano dhidi ya Minyororo ya Ulawiti, Rwanda Read More »