Ukeketaji

Ukeketaji Kuvushwa Mipaka

by Martha Chimilila Unyanyasaji wa kijinsia ni tendo lenye kuleta madhara kwa mtu kulingana na jinsi yake. Hii inatokana na ukosefu wa usawa wa kijinsia, matumizi mabaya ya tamaduni na Kanuni za kimila. Takwimu zaonyesha kuwa,Tanzania ina asilimia 40 ya watoto wa kike walio chini ya miaka 15 waliofanyiwa unyanyasaji wa kimwili. Na takribani asilimia …

Ukeketaji Kuvushwa Mipaka Read More »

Je ni Mila Ama Utumwa?

By; Khadija Mbesa Tumejifanya viziwi na vipofu mbele ya mambo ambayo yanamdumisha na kumdhalilisha mtoto kwa kusingizia mila. Je mila hiyo haina huruma mbele ya Watoto? Si ukeketaji, si ndoa za mapema kwa wasichana, si kutosomeshwa, yote hayo yanamkosema mtoto wa kike fursa ya kuishi kwa furaha. Ukeketaji Si leo wala si kesho, tabia hii …

Je ni Mila Ama Utumwa? Read More »