Ukatili

Mapigano dhidi ya Minyororo ya Ulawiti, Rwanda

By Martha Chimilila Ukatili wa kijinsia ni kitendo anachofanyiwa mtu yoyote kwa lengo la kumdhuru au kumuumiza kisaikolojia, kimwili, kiafya, kingono na kiuchumi. Tafiti nyingi zinaonyesha kuwa, wanawake ndiyo wahanga wakubwa wa ukatili wa kijinsia. Hali imekuwa ya tofauti nchini Rwanda, ambapo Wataalamu wametoa ripoti inayoonyesha asilimia 11 kwa mwaka wamefanyiwa ukatili wa kijinsia kwa …

Mapigano dhidi ya Minyororo ya Ulawiti, Rwanda Read More »

Mbio za Kupunguza Ukatili wa Kijinsia

By Martha Chimilila Tanzania kama zilivyo nchi nyingi duniani, kuna ongezeko kubwa la ukatili wa kijinsia kwa Watoto, ambao umefichwa na mila, tamaduni na dini. Ijapokuwa wanaharakati wa haki za Watoto nchini Tanzania wamekuwa wakifanya kampeni mbalimbali ili kupinga ndoa za utotoni, tohara na mimba za mapema. Hali ambayo ni tofauti kwa jamii mbalimbali ikiwemo …

Mbio za Kupunguza Ukatili wa Kijinsia Read More »