Uhaba wa Mvua na Ukame, Wawalazimu Watoto Kulazimishiwa Ndoa za Mapema

Khadija Mbesa Watoto wa shule wanakabiliana na ukame unaokumba maeneo ya Pwani. Wadau wa elimu na wanakijiji, waliripoti hapo jana kuhusu kuongezeka kwa visa vya kuacha shule na ndoa za kulazimishwa katika kaunti ya Kilifi na Tana River. Huku hayo yakijiri, wavulana katika maeneo mengine ya kaunti ya Kilifi, Kwale na Tana River wameacha shule ili kuchoma makaa …

Uhaba wa Mvua na Ukame, Wawalazimu Watoto Kulazimishiwa Ndoa za Mapema Read More »