Kuvunjika Mwiko sio Mwisho wa Upishi

By Khadija Mbesa Ida Odinga Trust imefichua kwamba ni asilimia mbili tu ya wahanga wa ujauzito wa mapema wanaoendelea na shule baada ya kujifungua, Kulingana na Dhamana inayoongozwa na mwenzi wa Waziri Mkuu wa zamani, Ida Odinga ni kwamba, wengi wa wale ambao wanasumbuliwa na wadudu wa kijinsia huishia katika ndoa za mapema na kazi …

Kuvunjika Mwiko sio Mwisho wa Upishi Read More »