Ufaransa; Ngono na Mtoto chini ya umri wa miaka 15.

Ufaransa inakataza ufanyaji mapenzi na watoto wenye umri chini ya miaka kumi na tano Bunge la Ufaransa mnamo Alhamisi lilipitisha sheria inayoonyesha ngono na mtoto chini ya umri wa miaka 15 ni sawa na ubakaji na adhabu yake ni miaka 20 kwa jela, ikileta nambari yake ya adhabu karibu na mataifa mengine mengi ya Magharibi. …

Ufaransa; Ngono na Mtoto chini ya umri wa miaka 15. Read More »