Shukran na Buriani Mwai Kibaki

Ni siku kadhaa baada ya kifo cha Rais wa zamani wa Kenya, Mzee Mwai Kibaki, na hatuna budi ila kumwambia buriani, huku tukikumbuka sifa zake katika sekta ya Elimu na Uchumi. Si siri kwamba, Mwai Kibaki alipoingia madarakani kama rais mwaka wa 2003, alizindua mpango wa Elimu ya Msingi usio na Malipo na ambao uliosifiwa sana .  Huku …

Shukran na Buriani Mwai Kibaki Read More »