Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike

By Khadija Mbesa Ufikiaji wa elimu, huduma za afya, vifaa vya kujifunzia vyenye ustadi, fursa sawa, kinga dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia na ubaguzi ni mada za kawaida ambazo hufanyiwa kazi mwaka baada ya mwaka. Kulingana na kaulimbiu ya mwaka huu, ni Kizazi cha digiti, kizazi chetu. Lengo kuu ni kuziba mgawanyiko wa dijiti. Kulingana na Umoja …

Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike Read More »