Wito wa Kukomesha Uajiri wa Kigaidi wa Watoto

By; Khadija Mbesah UNICEF inatoa wito wa kukomesha uajiri wa kigaidi wa watoto na unyanyasaji nchini Syria, Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF, limetoa wito siku ya Jumapili kwa watoto wote wanaoshikiliwa katika makambi au magereza kaskazini mashariki mwa Syria waruhusiwe kwenda nyumbani. Shirika la Umoja wa Mataifa limesema kuwaunganisha salama na …

Wito wa Kukomesha Uajiri wa Kigaidi wa Watoto Read More »