Mabadiliko ya Teknolojia wakati wa Corona
By Martha Chimilila Corona si janga la kwanza lililotokea Ulimwenguni, ila ni janga ambalo limeathiri kila kona ya dunia, hasa kwa watoto. Wananchi wengi wanakosa mahitaji muhimu kama huduma za afya, elimu na ulinzi sababu walizaliwa katika umaskini au ubaguzi wa rangi, kabila au dini. Corona imeondoa pengo hilo la ukosefu wa usawa na athari […]
Mabadiliko ya Teknolojia wakati wa Corona Read More »