Ripoti ya ukiukaji mkubwa dhidi ya watoto, Afghanistan

By Khadija Mbesa ripoti hii inaelezea ukiukaji wa haki zozote zile za watoto nchini afghanistan baada ya taliban kutawala afghanistan. Maelfu ya wavulana na wasichana wameuawa au kujeruhiwa katika kipindi cha miaka miwili iliyopita nchini Afghanistan, kulingana na ripoti ya hivi karibuni ya UN juu ya Watoto na Migogoro ya Silaha, ambayo ilitolewa Jumatatu, siku moja …

Ripoti ya ukiukaji mkubwa dhidi ya watoto, Afghanistan Read More »