Ujumbe wa NCCK kuhusu Kulinda Watoto wakati wa Likizo za Shule
By Khadija Mbesa Ndani ya siku hizi chache zijazo, watoto watarudi nyumbani kwa ajili ya sikukuu zao, ambapo zitaambatana na sherehe za Krismasi na Mwaka Mpya. Hii ni fursa nzuri ya kuunganisha familia, kuungana kwa furaha, na malezi kamili. Hata hivyo, Nyakati za likizo hizi, watoto wengi wako katika hatari kubwa sana. Hatari hii iliangaziwa […]
Ujumbe wa NCCK kuhusu Kulinda Watoto wakati wa Likizo za Shule Read More »