SIKU YA SARATANI DUNIANI 2021 (WORLD CANCER DAY)
By: Khadija Mbesah I Am and I Will yaani “ninafanya na nitafanya” hii ni mandhari ya siku ya saratani duniani mwaka 2021, tunachukua fursa hii siku ya leo kuwapatia heko na kuwashangilia mashujaa ambao wamewashika mkono na kuwasaidia watu wote walioathirika na saratani wakati huu wa janga la COVID 19. Janga la COVID-19 limeathiri vikundi vyote …
SIKU YA SARATANI DUNIANI 2021 (WORLD CANCER DAY) Read More »