Usafirishaji Haramu wa Watoto

By Martha Chimilila Usafirishaji haramu wa watoto ni kitendo cha kuwaondoa watoto katika mazingira salama na kuwatumikisha katika biashara za unyonyaji au biashara ya ngono. Tanzania ni moja ya nchi ambayo iko katika mapambano dhidi ya vitendo vya usafirishaji haramu wa watoto. Katika mkoa wa Mbeya, Jeshi la polisi linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuwatorosha na kuwauza …

Usafirishaji Haramu wa Watoto Read More »