Matumaini ya Watoto Yafunikwa na Ukame nchini Kenya

By Khadija Mbesa zaidi ya watoto milioni 5.7 chini ya miaka mitano wako kwenye ukingo wa njaa kote ulimwenguni, Mnamo Februari mwaka huu watu idadi ya 1,426,468 nchini Kenya, waliripotiwa kuwa na uhaba wa chakula. Nambari iliyoongezeka hadi 2,147,840 kufikia Agosti na miradi ya Mamlaka ya Kitaifa ya Usimamizi wa Ukame (NDMA) ainasema kwamba, nambari hii itapanda …

Matumaini ya Watoto Yafunikwa na Ukame nchini Kenya Read More »