Kaa la Ukahaba Pwani
By Khadija Mbesa Ujana, Ngono na Utalii ni mambo ambayo yanaenda sambamba na yanapewa kipaumbele ndani ya roho ya Pwani Kenya. Mambo haya hayazingatii umri wala jinsia, watu wazima na hata Watoto wadogo wanaweza jipata ndani ya kisima hichi cha ukahaba. Mzazi kumfundisha mwanawe jinsi ya kujiuza na kupata fedha kupitia kufanya mapenzi na watalii […]
Kaa la Ukahaba Pwani Read More »