Mtoto

Hasira Hasara

By Martha Chimilila  Mkazi wa kijiji cha Ndumbwe, Wilaya ya Mtwara nchini Tanzania, anayejulikana kwa jina la Hamis Mmalala amemchoma vidole moto mtoto wake anayeitwa Bashiru mwenye miaka 10. Kitendo hiki kilitokea baada ya kumtuhumu mtoto kuwa ameiba shilling 1,000 iliyoandaliwa kwa ajili ya kununua vitafunwa.  Bwana Hamis Mmalala alizungumza na mwandishi wa gazeti la Mwananchi digital aliyefika nyumbani kwake ili kumhoji ‘niliwasha moto kwa nia …

Hasira Hasara Read More »

Senti Makaburini

By Khadija Mbesa Wakati kila mtoto anaonekana yupo shuleni ama nyumbani mwao, utamwona Mtoto wa miaka 12 amekaa chini ya mti katika makaburi ya al-Faluja, kusini magharibi mwa kambi ya wakimbizi ya Jabalia kaskazini mwa Gaza, akijikinga na miale ya jua kali, huku akisubiri wageni wa makaburi wafike ili awape huduma kadhaa kwa malipo kidogo …

Senti Makaburini Read More »

Wamlilie nani? Waelekee wapi?

By Khadija Mbesa Asia imewapa Kisogo watoto wa Rohingya. Hakuna mtoto yeyote, anayepaswa kuishi na Hofu!. Abul kijana mwenye umri wa miaka 16 ameishi maisha yake yote kwa hofu. Kama mtoto wa Rohingya kukulia katika Jimbo la Rakhine huko Myanmar, alikuwa akiteswa na kidhalilishwa mara kwa mara. Alishuhudia mamake na dadake wakipigwa. Zaidi ya miezi 18 iliyopita, …

Wamlilie nani? Waelekee wapi? Read More »

Covid Yazua Kadhaa

By Khadija Mbesa Mtoto wa miezi sita aliyenyanyaswa kingono na babake wakati wa kufungiwa ndani kwa sababu ya maambukizi ya corona, Mtoto wa miaka kumi na nne ambae hakuweza kurudi shuleni wakati mzazi wake wa kiume,, mshirikii pekee wa kipato cha familia ametekwa na virusi hivi na kuaga dunia. Mtoto huyo huenda akalazimika kujitwika majukumu …

Covid Yazua Kadhaa Read More »

Mitandao

By Khadija Mbesa Hebu tuseme kwa mfano, wewe kama mzazi uko katika mitandao ya kijamii kama vile Instagram na Twitter, alafu pia mwanao ako katika mitandao hiyo hiyo ya kijamii na anaweza kuona chochote unachochapisha ndani ya mitandao. je? mtoto wako atachukulia vipi mwonekano wako kwake atakapoona picha au ambazo unachapisha kwa ukurasa wako hazina …

Mitandao Read More »