Kutekwa nyara na Kuuawa

By Khadija Mbesa Hapo juzi tarehe 13 mwezi julai mwaka wa 2021, kulikamatwa mshukiwa aliyehusika na kutoweka kwa wavulana wawili huko Biafra, ndani ya eneo la Eastleigh katika Kaunti ya Nairobi. Ndani ya masaa kadhaa ya kukamatwa kwake, mshukiwa huyo aliandamana na DCI kutoka Ofisi ya Utafiti wa Uhalifu na Ujasusi hadi mahali ambapo alidai kwamba ametupa […]

Kutekwa nyara na Kuuawa Read More »