Taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEF Henrietta Fore

By Khadija Mbesa Taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEF Henrietta Fore juu ya watoto nchini Afghanistan  “Leo hii, karibia watoto milioni 10 nchini Afghanistan wanahitaji msaada wa kibinadamu ili waweze kuishi. Inakadiriwa kwamba, watoto milioni 1, wanaugua utapiamlo mkali katika kipindi cha mwaka huu na wanaweza kufa kusipokuwa na matibabu. Inakadiriwa kuwa, watoto milioni 4.2 hawaendi shule, […]

Taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEF Henrietta Fore Read More »