Mwanga Gizani

By Martha Chimilila Mkimbizi ni mtu aliyeondoka nyumbani au nchini kwake anapoishi sababu ya kulazimishwa, kufukuzwa, vita, ubaguzi wa rangi, uanachama wa kikundi fulani cha Kijamii au Kisiasa au hofu ya kuteswa. Uganda ni moja ya nchi inayopokea wakimbizi wengi kutoka Mataifa Jirani kama Demokrasia ya Congo na Sudani Kusini, na takwimu zinaonyesha wengi wa wakimbizi hao ni watoto.   Asilimia kubwa ya watoto …

Mwanga Gizani Read More »