Wanafunzi Kufeli Baada ya Likizo ndefu ya COVID 19
By: Khadija Mbesa Wanafunzi wanaofaa kukalia mtihani wa KCPE wamerekodi alama duni sana katika mtihani wa tathmini za shule ya msingi, hii imefunua mapungufu makubwa ya ufunzaji yanayosababishwa na athari za kufungwa shule kwa muda mrefu. Zaidi ya nusu ya watahiniwa wa Daraja la Nane milioni 1.1 waliokalia mitihani walipata chini ya wastani wa asilimia […]
Wanafunzi Kufeli Baada ya Likizo ndefu ya COVID 19 Read More »