Je ni Mila Ama Utumwa?

By; Khadija Mbesa Tumejifanya viziwi na vipofu mbele ya mambo ambayo yanamdumisha na kumdhalilisha mtoto kwa kusingizia mila. Je mila hiyo haina huruma mbele ya Watoto? Si ukeketaji, si ndoa za mapema kwa wasichana, si kutosomeshwa, yote hayo yanamkosema mtoto wa kike fursa ya kuishi kwa furaha. Ukeketaji Si leo wala si kesho, tabia hii […]

Je ni Mila Ama Utumwa? Read More »