Mfumo wa Haki za Watoto, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
By Martha Chimilila Mfumo wa Haki za Watoto ni kitendo cha wazazi, jamii, serikali na wadau wa maswala ya watoto kusimamia na kulinda maslahi ya watoto kama haki ya kupata elimu bora, lishe yenye tija na afya njema. Kuna mikataba mbalimbali duniani ambayo ilisainiwa kati ya nchi na Mashirika ya Kutetea na Kulinda haki za …
Mfumo wa Haki za Watoto, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Read More »