Mchezo wa Mtandaoni Utakaokuza Jukwaa la Usalama Kwa Watoto

Khadija Mbesa Februari, 2022. Nairobi Kenya Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CAK) imezindua rasmi mchezo wa mtandaoni unaoitwa  ‘Cyber ​​Soldjas’  kwa minajili ya kukuza jukwaa salama la mtandaoni kwa watoto. Akizungumza katika hoteli moja, hapo jana jijini Nairobi, Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria wa CAK, Mercy Wanjau, alisema kwamba, mchezo huo wa mtandaoni unalenga watoto wenye umri …

Mchezo wa Mtandaoni Utakaokuza Jukwaa la Usalama Kwa Watoto Read More »