Wazazi Kuwafwatilia Watoto Wakati wa Nusu Muhula.

By Khadija Mbesa Wazazi katika Kaunti ya Homa Bay wamehimizwa kuwa macho, juu ya watoto wao hasa wakati watakuwa nyumbani mwao, baada ya kumaliza nusu muhula, wiki hii. Mbunge wa Kata ya Kabwai Kaunti, Ouma Ogindo alisema kuwa, kuna haja ya kuhakikisha wasichana wa utotoni wanalindwa kutokana na mimba zisizopangwa. Ogindo alielezea wasiwasi wake juu …

Wazazi Kuwafwatilia Watoto Wakati wa Nusu Muhula. Read More »